Familia ya Collins yatoa huduma za aina yake kwa wenye akili taahira


Msimu wa sherehe za Krismasi na Mwaka mpya ulishuhudia mengi. Kwa familia moja huko Eldoret ulikuwa wakati wa kuwakumbuka watu wenye akili taahiri ambao hutembea barabarani wasijue siku, saa wala tarehe.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | BULLDOZERS FOR SANITIZERS | Families remain in the cold after evictions from Kariobangi sewage estate

Avatar
Story By John Wanyama
More by this author