Familia ya mwanafunzi aliyekanyagwa na basi yalia

Familia ya Kennedy Ngugi, mwanafunzi wa darasa la nane katika shule ya msingi ya Park Ville katika kaunti ya Kiambu aliyegongwa na basi la shule, sasa inadai haki kutendeka.
Ngugi alikumbana na kifo chake baada ya kugongwa na basi la shule yao walipoulizwa na dereva ambaye pia ni mkurugenzi wa shule hiyo lilipopata hitilafu.
Maafisa wa polisi waliomwachilia kwa dhamana dereva huyo wanatarajia kufikisha kesi hiyo mbele ya mkurugenzi wa mashtaka kutoa mwelekeo mwafaka.

Tags:

Park Ville Academy Kennedy Ngugi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories