Familia za waliouawa na Alshabab zatambua maiti

Biwi la simanzi lilitanda hii leo katika chumba cha kuhifadhia maiti cha chiromo hapa nairobi wakati jamaa za watu sita waliowauwa katika shambulizi la kigaidi mjini mandera siku ya jumatano walipofika kuwatambua wapendwa wao.victor kenani alijiunga na familia hizo na kutuandalia taarifa hii.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories