Fisi amla mtoto wa miezi mitatu Garissa

Kijiji cha Raya, katika eneo bunge la Garissa kiliamkia mshangao na majonzi baada ya kupata fisi amemtafuna na kumuua Mtoto wa miaka mitatu. Na hapa jijini wafanyibiahara eneo la Yaya Centre wanalalamikia kuharibiwa kwa biashara zao baada ya maafisa wa kaunti kuwavunjia vibanda vyao mapema leo.

Tags:

garissa Yaya Centre Fisi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories