Francis Nyenze afariki


Wakenya wanamuomboleza aliyekuwa mbunge wa Kitui Magharibi marehemu Francis Nyenze. Nyenze aliaga dunia mapema hii leo alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali moja hapa jijini Nairobi. Viongozi kadha wa kadha wakiwemo Rais Uhuru Kenyatta na vinara wa NASA wametuma risala za rambirambi kwa familia.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: The Fresh Look 9PM Bulletins... #ThisIsTheStory

Story By Stephen Letoo
More by this author