Fujo za ujio wa Odinga zaacha wanabiashara wakadiria hasara Nairobi


Huku wengine wakifurahia ujio wa kinara wa NASA Raila Odinga hapo jana, wahalifu walipata mwanya wa kutekeleza ujambazi kwenye baadhi ya biashara katika barabara ya Jogoo hapa jijini. Kadzo Gunga alipata fursa ya kuzungumza na baadhi ya wafanyibiashara katika eneo hilo na kutuandalia taarifa ya ifuatayo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Viusasa is now better, enriched with content and cheaper

Story By Kadzo Gunga
More by this author