Fundi wa viatu arejea shuleni baada ya miaka 17

Kuna baadhi ya watu ambao hufikiria elimu ni ya watu wachanga pekee. Lakini anthony njuguna muniu, mwanaume mwenye umri wa miaka 40, alirudi shuleni baada kukaa nje ya darasa kwa miaka 17, na hatimaye kufuzu na shahada ya masuala ya fedha na uchumi.

Tags:

shoe cobbler

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories