Fuo za Bahari, Zapata umaarufu, Diani

Fuo za bahari za Diani kwa miaka miwili mfululizo zimechaguliwa kama fuo bora zaidi  barani  Africa  na mashirika ya World travel Awards na Travellers Choice Awards pamoja na mihakawa  miwili ya kifahari katika eneo la Diani kupandishwa hadhi ya kuwa na nyota 5 na kama anavyotueleza mwanahabari wetu Nicky Gitonga tuzo hizo zinaonekana kuongeza  idadi ya watalii kutoka mataifa ya kigeni wanaozuru kusini mwa pwani  kutoka asilimia 15 mwaka 2013 hadi 45 mwaka 2016.

Tags:

World Travel Awards Diani Travellers Choice Awards

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories