Gachagua: Mipango ya maziko

Mwili wa aliyekuwa Gavana wa Nyeri Nderitu Gachagua utafika humu nchini siku ya Alhamisi asubuhi, haya ni kulingana na familia. Katika mkutano uliondaliwa kwa boma la gavana huyo, familia imesema kwamba itaendelea kuwa na mikutano hapa jijini Nairobi na Nyeri ya kupanga siku ya mazishi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories