Gavana Kiraitu na Peter Munya wapatana

Rais Uhuru Kenyatta amemuomba aliyekuwa gavana wa Meru Peter Munya kuondoa kesi inayopinga kuchaguliwa kwa Gavana Kiraitu Murungi kuwa gavana wa Meru huku akiahidi kumpa ajira katika serikali kuu. Rais ameyasema haya katika ziara yake ya kuomba kura katika kaunti ya Meru.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE Peter Munya meru kiraitu murungi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories