Gavana Munya akemewa na serikali kuu

Serikali kuu hii leo imekosoa hatua ya gavana wa Meru Peter Munya kuelekea nchini Somalia na kufanya majadiliano yaliyosababisha kuzuiliwa kwa bidhaa za miraa kuingia nchini humo wiki mbili zilizopita.Kupitia msema wa Ikulu Manoah Esipisu,serikali imewataka magavana wanaonuia kufanya mazungumzo na mataifa mengine kufuata itifaki zilizowekwa

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories