Gavana Nderitu Gachagua afika mbele ya bunge la seneti kuhojiwa

Gavana wa Nyeri aliyeng’olewa mamlakani, Nderitu Gachagua, amelaumu siasa za kumrithi kama kiini cha kutolewa kwake. Gachagua ameemnyooshea kidole cha lawama aliyekuwa mbunge wa Mathira Ephraim Maina kwa kuongoza kufurushwa kwake akidai Maina aliongoza mikutano 4 katika makaazi yake eneo la Nyeri kupanga kumuondoa, madai ambayo Maina amekana.

Tags:

nyeri Nderitu Gachagua seneti Ephraim Maina

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories