Gavana Nyong’o aamuru mikutano ya mikahawani isitishwe Kisumu


Gavana wa Kisumu Prof Anyang Nyong’o sasa ametoa tahadhari kwa wamiliki wa mikahawa katika kaunti ya Kisumu kuchunguza mikutano inayofanywa mikahawani mwao kufuatia rabsha zilizozuka katika mkahawa wa Jumuia mapema wiki hii.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author