Gavana wa Bomet Isaac Ruto ajeruhiwa usoni

Gavana wa kaunti ya bomet hii leo ametibiwa na kuruhusiwa kutoka katika hospitali ya nairobi kufuatia madai ya kushambuliwa na polisi katika kaunti hapo jana.

Ruto alidai kwamba polisi walimmiminia vitoa ya machozi pamoja na wafuasi wake katika mzozo uliotokea maeneo ya silibwet kaunti ya Bomet.

Ruto alitakae kutaka kujua ni kwanini baadhi ya wafuasi wake walikamatwa katika mechi ya kandanda baina ya bunge fc na silibwet fc.

Hata hivyo kamishna wa polisi kutoka kaunti hiyo aliyapuuzilia mbali madai kuwa maafisa wa polisi walimvamia gavana huyo,.stephen letoo na taarifa hiyo kwa kina.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories