Gavana wa Elgeyo Marakwet huishi ‘ugenini’ Uasin Gishu
Published on: December 09, 2017 08:55 (EAT)
Gavana wa kaunti ya Elgeyo Marakwet Alex Tolgos kwa miaka mitano iliyopita hajakuwa na makao katika kaunti yake huku akiendea kuishi katika kaunti jirani ya Uasin Gishu licha ya kuwa yeye hupokea shilingi elfu themanini kila mwezi za kumlipia kodi ya nyumba. Kwa nini gavana huyu asiishi katika kaunti yake hata katika nyumba ya kukodisha?
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment