Gavana wa Mombasa Hassan Joho aapishwa kuhudumu kwa muhula wa pili

Gavana wa Mombasa Hassan Joho aapishwa kuhudumu kwa muhula wa pili

Kinara wa Nasa Raila Odinga ameanzsisha kile anachotaja kama msukumo wa kuhakikisha haki ya wapiga kura na heshima ya maamuzi yao kwenye debe. Licha ya kuwasilisha kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais, Odinga anasema wakenya hawawezi kufuata au kuheshimu utawala wa viongozi anaodai walitangazwa washindi kupitia ukarabati wa kompiuta. Hata hivyo, viongozi wa Jubilee wakiongozwa na Rais Uhuru Kenyatta wamesisitiza heshima ya mahakama ya juu nchini, na majaji wake kupewa nafasi ya kusikiza na kuamua kesi iliyowasilisha bila kutishwa au kushurutishwa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories