Gavana wa Tharaka Nithi awaonya wafanyakazi hewa


Siku moja baada ya tume ya mishahara SRC kukunja jamvi kwa kuzishutumu serikali za kaunti kuwa hutumia pesa nyingi kulipa mishahara, gavana wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki ameeleza kuwa serikali ya kaunti hiyo imeweka mikakati ya kupunguza mzigo huo. Njuki ameahidi kupambana na wafanyakazi hewa pamoja na wale ambao hupokea tu mishahara licha ya kukwepa majukumu yao.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Viusasa is now better, enriched with content and cheaper

Story By Citizen Team
More by this author