Genge lamjeruhi Mwanamke kwa kumshuku kuwa mchawi, Igembe ya Kati

Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 anayeshukiwa kuwa mshirikina anaugua majeraha makali baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake na sasa amelzwa katika chumba cha wagonjwa walio katika hali mahututi hospitali ya methodist ilioko kaunti ndogo ya igembe ya kati .mwanamke huyo alikatwa mkono wake wa kushoto pamoja. Mwanamke huyo anauguza majeraha mengine kichwani na sehemu zake za siri. Lulu Hassan anaripoti hii kwa kina

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories