Ghadhabu za ajuza, mwanafunzi wa darasa la 8, kwa kutofanyika sherehe za Mashujaa Kisumu


Katika eneo la Nyakach kaunti ya Kisumu ajuza mmoja alionyesha kutofurahishwa na hali ya kutofanyika kwa sherehe za mashujaa eneo hilo. Christine Auma, mwanafunzi wa darasa la nane ana umri wa miaka sitini na minne. Na kama anavyotueleza Laura Otieno, ajuza huyu alitamani kuhudhuria sherehe za mashujaa ili kuonyesha weledi wake katika lugha za Kiswahili na Kiingereza.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Bobi Wine: Where I come from politician means lying and manipulating people #JKLive

Story By Citizen Team
More by this author