Gharama ya juu ya maisha yazidi kuumiza wengi

Kupanda kwa gharama ya bidhaa muhimu kumeathiri mno maisha ya wananchi na hata kupelekea wengi kufanya uamuzi wa kurudi mashambani kwa kushindwa kukithi mahitaji ya kila siku. Mwandishi wetu lulu hassan alitangamana na wananchi na kupata kuelewea hali halisi .

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories