Ghasia na uporaji zagubika maandamano ya NASA

Muungano wa NASA uliendelea na msusururu wake wa maandamano katika sehemu tofauti humu nchini. Hapa jijini maandamano hayo yalihusisha mkwaruzano kati ya wafuasi wa NASA na baadhi ya wafanyibiashara huku watu watano wakiripotiwa kupata majerehea ya risasi mjini Kisumu. Maandamano hayo yataandaliwa kila siku kwanzia wiki kesho.

Tags:

IEBC Nairobi kisumu anti-IEBC protests

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories