Ghasia uteuzi wa Jubilee

Ghasia na vurugu zilishuhudiwa leo katika ukumbi wa Bomas hapa jijini Nairobi wakati kambi mbili hasimu za wagombea ugavana kwa tiketi ya Jubilee zilipokutana ana kwa ana. Mkutano huo ulikuwa na lengo la kuwachagua wanabodi ya uchaguzi ya Jubilee hapa jijini lakini ukatibuka baada ya fujo hizo..

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories