Ghasia zafunika maandamano ya NASA dhidi ya IEBC


Wafuasi wa muungano wa upinzani wa Nasa wameandamana leo hapa Nairobi na katika miji ya Kisumu na Mombasa wakitaka kujiuzulu baadhi ya maafisa wa IEBC akiwemo Ezra Chiloba. Hapa Nairobi maandamano hayo yaligubikwa na fujo huku polisi wakitumia vitoa machozi kuwatawanya waandamanaji. 

Nusra vita vizuke baada ya wafuasi wa Jubilee pia kujitokeza katika makao makuu ya IEBC.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Hassan Mugambi
More by this author