Hali ni mbaya katika hospitali za umma

Kadri madaktari na wauguzi elfu tatu kote nchini wamesusia kazi na kuanza rasmi mgomo uliokua ukitokota kwa muda mrefu sasa. Wagonjwa kutoka sehemu nyingi nchini walirudi makwao bila matibabu yeyote kukiwa hakuna wa kuwahudumia.

Vile vile wagonjwa kutoka hospitali ya mathare walionekana kutoroka isijulikane ni kwa nini. Saida Swaleh na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories