Hali ya ukame Lamu

Kaunti ya lamu ni moja wapo ya maeneo yaliyotajwa kuwa katika hatari kubwa zaidi ya kuathirika na makali ya njaa.

Shirika la msalaba mwekundu likiwa limehofia kuwa endapo hakutakuwepo na mikakati kabambe basi janga hilo huenda likaangamiza wengi.

Na kama mwanahabari saida swaleh anavyoeleza wakulima ndio wenye kilio kikuu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories