Hali ya ukame yazidi kushuhudiwa nchini

Hali ya kiangazi imezidi kukithiri na sasa kuonekana kuchangia upungufu wa wanafunzi madarasani. Shule nyingi katika eneo la tiaty kaunti ya baringo zimesalia mahame huku wanafunzi wakiripotiwa kutofika shuleni kutokana na njaa. Na kama mwanahabari saida swaleh anavyoripoti, wakaazi wanazidi kuumia kila siku.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories