Hali ya wasiwasi yazidi kutanda Baringo

Mapigano kati ya jamiim  za wapokot na wanandi yakiendelea barabara muhimu inayounganisha sehemu muhimu ikifungwa na genge la majambazi hao. .hali ya taharuki inazidi kutanda katika eneo la mukutani kusini mwa Baringo baada ya

 

Barabara ya Loruk ambayo ni kitovu cha  maeneo bunge ya Tiaty na baringo ya kusini imefgungwa na maharamia hao hivyo kumaanisha iwapo kutakuwa na dharura yoyote, polisi hawataweza kuwafikia raia kwa muda unaofaa. Anne Mawathe na maelezo zaidi.

Tags:

baringo

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories