Hali yazidi kuwa mbaya katika hospitali za umma

Leo ikiwa ni siku ya ishiri na tisa tangu madaktari na wauguzi waitishe mgomo wao, hali katika hospitali mbali mbali nchini inaendelea kudorora huku wagonjwa kadhaa wakiwa katika hali ya kutamausha na wengine kuaga dunia.
Aidha wawakilishi wa madakitari wakitarajiwa kuandaa mkutano hapo kesho na maafisa wakuu serikalini huko mombasa , rais kupitia hotuba yake ya mwaka mpya alisema kuwa matakwa ya madaktari ni zaidi ya kusitiri.inyangala tsuma anatuelezea hali ilivyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories