Hamasa ya mwandamanaji

Siku za kuandamana za muungano wa NASA wengi hujiuliza wale wanaojitokeza kuandamana na kuacha kazi zao ni kina nani na madhumuni yao ni yepi? Lakini kama anavyoarifu mwanahabari Saida Swaleh aliyeshinda mchana kutwa na mwandamanaji sugu, ni mapenzi ya chama yanayowafanya kujitolea kwa hali na mali.

Tags:

raila odinga Kibra NASA anti-IEBC protests Nyar-Ford

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories