Hasira zajaa mitandaoni kuhusiana na tuhuma za ubakaji KNH


Tuhuma za ubakaji ndani ya hospitali kuu ya Kenyatta zimegonga vichwa vya habari hii leo, si humu nchini pekee bali pia kimataifa, hata hivyo, wasimamizi wa hospitali hiyo ya rufaa wamekanusha madai hayo swala lililokinzana na waziri wa afya aliyeamrisha uchunguzi na kuwasilishwa kwa ripoti siku ya jumatatu kuhusiana na madai hayo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: NEWSNIGHT | Kalonzo quizzed over claims of support for Uhuru term extension

Story By Lulu Hassan
More by this author