Hatimaye magavana kupokea mgao wa fedha za kaunti

Hatimaye kaunti zitapokea mgao wa fedha baada ya bunge la seneti kujadili mswada uliowasilishwa kutoka kwa wizara ya fedha utakaowezesha wizara hiyo kufanya mgao kwa kila kaunti. Kiongozi wa wengi katika bunge Hilo Kipchumba Murkomen amesema kuwa kaunti sasa zinapaswa kuwajibika katika utumizi wa fedha hizo.

Tags:

counties budget

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories