Hatimaye makamishna hao wameafikiana na serikali

Makamishna tisa wa tume ya uchaguzi watafidiwa shilingi milioni 12.21 ambayo ni asilimia 31 ya misharaha yao kwa miaka mitano waliofanya kazi, kando na shilingi milioni 94.91 ambayo ni mshahara wa mwaka mmoja kila mmoja kwa muda ambao hawatakuwa afisini. Makamishna wa tume hiyo hatimaye wameafikiana na serikali kuhusu malipo ya kuondoka afisini. Marupurupu mengine watakayofaidi yataratibiwa Jumatatu.

Tags:

IEBC Makamishna

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories