Hatua mpya ya kupunguza vifo vya watoto wachanga

Umewahi kufikiria kuwa boxi linaweza kutumika kama njia ya kupunguza vifo vya watoto wachanga humu nchini? Mwanamke mmoja hapa jijini nairobi ameanzisha mradi wa kugawa maboxi yenye bidhaa kumi na nane  kwa kina mama ambao hawajiwezi ili kupunguza magonjwa na hata kutumika kama kitanda. Na kama anavyoarifu mwanahabari saida swaleh mbinu hii ambayo imeigwa kutoka nchi ya finland, imeonekana kuwa na manufaa si haba kwa mama na mtoto.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories