Hatua ya Odinga kujiondoa yaacha wanasheria wakikuna vichwa

Kujiondoa kwa Raila Odinga kutoka kwenye kinyang’anyiro cha urais sasa kumeibua masuali ya kisheria kuhusu hatma ya uchaguzi uliokuwa umepangiwa kufanyika tarehe 26. Muungano wa NASA ukiegemea uamuzi wa mahakama ya upeo katika uamuzi wa utata wa uchaguzi wa 2013 unaosema kuwa uchaguzi huo sasa utafutiliwa mbali na shughuli ya uteuzi kufanyika, mrengo wa Jubilee unaegemea kipengee cha katiba kuwa mgombea wa uchaguzi akiwa mmoja, atangazwe rais mteule kando na kufanya marekebisho ya kupiga msasa utata huo.

Tags:

IEBC raila odinga kalonzo musyoka NASA

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories