Hatua za mwisho za marehemu Nkaissery

Kabla ya kifo chake, Jenerali Joseph Nkaissery, hapo jana alifanya shughuli zake kama kawaida yake hapo jana. Siku kutwa alionekana mchangafu na hakuna lolote liloonekana kwenda kinyume na mwenendo wake. Faizah Maganga anarejelea dakika za mwisho za Nkaiserry.

Tags:

Nkaissery

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories