Hawana daraja kwenye mto huu

Wenyeji wanaoishi katika kijiji cha juluk na vijiji vingine vitano jirani kaunti ya Turkana wanakumbana na masaibu ya kuvuka Mto Turkwel kuelekea upande wa pili kutokana na ukosefu wa daraja.La  kusikitisha ni kuwa wenyeji hao hulazimika kuvua nguo zao ili kuvuka maji ya mto huo wakiwa uchi hadi ngambo ya pili na wakati mwingine kukumbana na hatari ya kushambuliwa na wanayama wa majini kama viboko. Patrick Injendi na taarifa kamili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories