Hesabu za kisiasa

Usajili wa wapiga kura ukipangiwa kuanza jumatatu, vyama vya kisiasa vinang’ang’ania kuhakikisha kuwa wafuasi wa kutosha wamesajiliwa katika ngome zao ili kuweza kushinda katika kinyang’anyiro cha agosti. Huku jubilee ikitizamia kutumia usajili wa wanachama wake kuhakikisha kusajiliwa kwa zaidi ya watu milioni tano ambao hawana kadi za kupiga kura, upinzani unapania kuwatumia wagombea kwenda nyumba hadi nyumba kuanzia katika kiwango cha wodi hadi kwenye kaunti.

Tags:

Ballot 2017

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories