Hisia mbalimbali kuhusu bei ya unga

Huku shehena ya pili ya mahindi kutoka nchini Mexico ikiwasili siku ya Jumanne wakenya wanazidi kulalamika kuhusu ukosefu wa unga kwenye maduka licha ya serikali kupunguza bei hadi kufika shilingi tisini. Taarifa hii ya saida Swaleh inaonyehsa uhalisia wa mambo na mikakati serikali inachukua pamoja na wasagaji ili kuhakikisha kuwa unga sio ghali tena.

Tags:

UNGA maize Ugali mahindi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories