Hisia mseto zatolewa kuhusu mauaji ya majambazi wanne na polisi Eastleigh

Washukiwa wanane wa ujambazi waliuawa jana huku afisa mmoja wa polisi akipoteza maisha yake katika mojawapo wa matukio ya kutamausha mtaani Eastleigh hapa jijini Nairobi. Katika video moja ambayo imezua tetesi kali inaonesha kijana mmoja akipigwa risasi hadharani na mtu anayeaminika kuwa afisa wa polisi. Ni video ambayo inaendelea kujadiliwa huku baadhi wakighadhabishwa na jinsi polisi anavyotumia nguvu na wengine wakiunga mkono mauaji hayo wakisema wanazidi kuhangaishwa na majambazi sugu mtaani humo.

Tags:

Eastleigh IPOA Polisi Japheth kome majambazi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories