Hoja yapitishwa Kiambu kuzitaka taasisi kuajiri 70% ya wenyeji


Bunge la kaunti ya Kiambu limepitisha hoja ya kuzilazimisha kampuni na taasisi za umma pamoja na za kibinafsi kuajiri asilimia sabini ya wenyeji wa kaunti hiyo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author