Homa ya Ndege Uganda

Serikali ya uganda, imethibitisha kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya ndege almaarufu kama bird flu katika maeneo karibu na fuo za ziwa Victoria…na kama mwanahabari wetu Hassan Farah anavyotuarifu sasa ni kuwa virusi hivyo vimegunduliwa katika ndege wa porini wanaohama hama, bata wanaofugwa na kuku.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories