Hospitali za binafsi kutoa huduma za kujifungua bure

Ni afueni kwa akina mama wajawazito hii leo baada ya serikali kupitia wizara ya afya kutangaza kwamba huduma ya bure ya kujifungua katika baadhi ya hospitali  itasambazwa hadi katika hospitali  2000 za kibinafsi na hospitali 700 za mishonari.

Tags:

free maternity boresha afya kujifungua bila malipo Linda mama

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories