Huduma ya kutuma pesa kupitia simu kwa mitandao tofauti yalainishwa


Serikali kwa ushirikiano na kampuni za huduma za simu imezindua mpango utakaowezesha wateja kutuma na kupokea pesa kupitia mitandao ya kampuni zote za simu. Kinyume na hali ilivyo hivi sasa mpango huo utarahisha utumaji pesa, sawa na kupunguza gharama ya kupokea na kutuma pesa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Patrick Igunza
More by this author