Huenda daraja kuu la Kainuk likaporomoka

Daraja la Kainuk linalounganisha kaunti ya Turkana na maeneo mengine
nchini, sasa sehemu kubwa ya daraja hilo imeporomoka na wenye magari  mazito wameonywa wasiyapitishe juu ya daraja hilo. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Cheboit Emmanuel licha ya runinga ya Citizen kuangazia hali ya daraja hili mwaka mmoja uliopita hakuna
lolote lilifanywa kulikarabati.

Tags:

turkana West Pokot Eldoret Express Kainuk bridge

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories