Huenda mfumo usio wa kielektroniki ukatumika Okt 26

Huenda uwasilishaji wa matokeo ya uchaguzi wa urais wa tarehe 26 Oktoba ukawa kwa njia ya MANUAL ikiwa kampuni ya kifaransa OT-Morpho itashindwa kufanyia vifaa vya KIEMS mabadiliko na kuwahusisha wawaniaji wote wanane. Haya ni kutokana na taarifa kwamba OT Morpho ilikuwa imekamilisha kazi hiyo tume ya IEBC sasa ikitarajia kufanya majadiliano na kampuni hiyo kutafuta mwafaka. Haya yanajiri huku wagombezi wanne ambao walikuwa wamefungiwa nje wakieleza nia yao kushiriki katika marudio ya uchaguzi huo.

Tags:

IEBC OT-MORPHO Al Ghurair

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories