Huenda serikali ya mpito ikabuniwa Zimbabwe

Mawaziri kadhaa wa nchi ya Afrika ya kusini wameenda nchini Zimbabwe, kwa maongezi ya kina baina ya rais aliyeng’olewa mamlakni Robert Mugabe na viongozi wa kijeshi wa nchi hiyo. Wanatarajiwa kujadili kuhusu maswala ya uongozi wa nchi hiyo.

Tags:

Robert Mugabe Zimbabwe

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories