Huenda watoto wa miaka 16 wakaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa

Mswada wa kubadilisha sheria za umri unaotambuliwa kisheria kuwa wa mtoto, ambapo mtoto anaweza kukubali tendo la ndoa kutoka miaka 18 hadi 16 umeibua mjadala mkali, huku baadhi ya watu wakidai kuwa suala hilo litachangia mimba na ndoa za mapema na kuwaharibia watoto maisha yao ya baadaye. Faiza maganga anafafanua kuhusu mswada huo unaonuiwa kujadiliwa bungeni hivi karibuni.

Tags:

tendo la ndoa umri wa watoto

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories