Idadi ndogo sana ya wanafunzi wajiunga na kidato cha kwanza Kwale

Kaunti ya Kwale ni mojawapo ya kaunti iliyorekodi idadi ndogo zaidi ya wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza huku shule za kitaifa zikikamilisha siku ya leo kulingana na kaimu waziri wa elimu ni wanafunzi mia saba pekee waliojiunga na kidato cha kwanza huku 4300 wasijulikane walipo na sasa ametoa wito kwa magavana ,machifu kuwasaka wanafunzi hao na kuhakikisha kwamba wameripoti shuleni huku akiwaongezea muda wa wiki moja .

Tags:

free secondary eduication

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories