Idadi ya wanaorandaranda mitaani yaongezeka Kapenguria

Idadi ya vijana wanaorandaranda mitaani imeongezeka marudufu katika mji wa Kapenguria Kaunti ya Pokot Magharibi. Wadau katika sekta mbali mbali wamelitaka bunge la kaunti kuunda sheria ya kusaidia kudhibiti hali hiyo.

Mwanahabari wetu Collins Shitiabayi ana kina cha taarifa hiyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories