Idadi ya watoto wa mitaani yaongezeka maradufu mjini Kitale

Uchunguzi kutoka idara ya watoto nchini unaonesha kuwa idadi ya watoto wanaorandaranda mitaani imeongezeka marudufu. Sababu mojawapo inayochangia hali hii ni wazazi wakatili kwa watoto wao na pia wengi wao kutowajibikia familia zao.

Tags:

KITALE

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories